QUOTE
Kila mtu ana tabia, matendo, mawazo na akili yake tofauti na mtu mwingine hapa duniani. Usimdharau mtu ukidhani ana akili kama za kwako au anafikiri kama unavyofikiri wewe kwani kila mtu aliumbwa kivyake na Mwenyezi Mungu. Unaweza kudhani unamjua mtu kumbe humjui. Heshimu kila mtu kama unavyojiheshimu kwa sababu, kila mtu ni wa pekee. Kama tunavyotofautiana katika vidole na macho ndivyo tunavyotofautiana katika tabia, matendo, mawazo, imani, maadili na akili. Usimdharau mtu usiyemjua au unayedhani unamjua.Similar Quotes by Tags194

OPEN UP THE BLINDOpen the blinds that cover their ey...

-Suzy Kassem

Quote

Autumn is a momentum of the natures golden beauty…, ...

-

Quote

Kila mtu kabla ya kuzaliwa alipewa na Mwenyezi Mungu...

-

Quote

How you think and create your inner world that you g...

-

Quote

CONFIDENCE is not showing off your VANITY, it’s abou...

-

Quote

Your traditional EDUCATION is not going to CHANGE yo...

-

Quote

Your comfort zone is a place where you keep yourself...

-

Quote

Many people place facts above faith and that makes t...

-

Quote

Tunapaswa kujisikia furaha kuu tunapokumbana na maja...

-

Quote

Your VISION and your self-willingness is the MOST po...

-

Quote

Radia hakuwa na makosa. Wengi huishi maisha yao bure...

-

Quote

So far there'll always be some thrive for perfection...

-

Quote

REJECTION is kind of your negative ILLUSION which ha...

-

Quote

If you are not EXCITED enough at your present life i...

-

Quote

Positive attitude, positive action.

-Lailah Gifty Akita

Quote

To learn a belief without the belief is to sing a so...

-

Quote

How you correct your mistakes will define your chara...

-

Quote

I Couldn't Look Straight In HER Eyes As I Already Kn...

-

Quote

We tend to be preoccupied by our problems when we ha...

-

Quote

Renew your mind every morning with pure thoughts.

-Lailah Gifty Akita

Quote
Copied the text: "Kila mtu ana tabia, matendo, mawazo na akili yake tofauti na mtu mwingine hapa duniani. Usimdharau mtu ukidhani ana akili kama za kwako au anafikiri kama unavyofikiri wewe kwani kila mtu aliumbwa kivyake na Mwenyezi Mungu. Unaweza kudhani unamjua mtu kumbe humjui. Heshimu kila mtu kama unavyojiheshimu kwa sababu, kila mtu ni wa pekee. Kama tunavyotofautiana katika vidole na macho ndivyo tunavyotofautiana katika tabia, matendo, mawazo, imani, maadili na akili. Usimdharau mtu usiyemjua au unayedhani unamjua."