Yusufu alikuwa hohehahe kabla na baada ya kuuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri. Hakuwa na pesa, hakuwa na elimu, hakujuana na viongozi wa serikali. Lakini kwa vile alikuwa na Mungu, Mungu alimbariki mpaka watu wote wakashangaa. Yusufu alikuwa maskini ili mimi na wewe tuwe na tumaini leo, kwamba tukiwa na Mungu katika maisha yetu hatutatafuta utajiri. Utajiri ndiyo utakaotutafuta sisi.Similar Quotes by Tags766

Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko Injili. Mun...

-

Quote

Capitalism defines a profit-driven empire, not one t...

-Suzy Kassem

Quote

Mungu alitengeneza familia. Alitengeneza koo, makabi...

-

Quote

We learn from education, experience and people.

-Lailah Gifty Akita

Quote

In framing a government, which is to be administered...

-

Quote

Mungu akikuweka mahali unapostahili kuwa, kulingana ...

-

Quote

I didn't recognize it as such then, because I was on...

-

Quote

A great leader must serve the best interests of the ...

-Suzy Kassem

Quote

Money can cloud your vision. Sometimes, God takes aw...

-Lailah Gifty Akita

Quote

Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6...

-

Quote

People wishes their friends to be in politics, but t...

-Amit Kalantri

Quote

People are prettiest when they smile with joy.

-Debasish Mridha

Quote

Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofa...

-

Quote

Definite purpose, absolute commitment.

-Lailah Gifty Akita

Quote

I never had a childhood. Not like the rest of them a...

-

Quote

You know one day, you're going to look back on these...

-

Quote

African leaders must desire to liberates it’s people...

-Lailah Gifty Akita

Quote

To all the boys, for when you become men: you'll lea...

-

Quote

...you're either gonna spend your life fucking pussy...

-

Quote

People will drive by their high school ten years dow...

-

Quote
Copied the text: "Yusufu alikuwa hohehahe kabla na baada ya kuuzwa na nduguze kama mtumwa nchini Misri. Hakuwa na pesa, hakuwa na elimu, hakujuana na viongozi wa serikali. Lakini kwa vile alikuwa na Mungu, Mungu alimbariki mpaka watu wote wakashangaa. Yusufu alikuwa maskini ili mimi na wewe tuwe na tumaini leo, kwamba tukiwa na Mungu katika maisha yetu hatutatafuta utajiri. Utajiri ndiyo utakaotutafuta sisi."