QUOTE
Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristo waliamua kufa kinyama kulinda heshima ya mfalme wao Yesu Kristo, kama Biblia na historia vinavyosema. Kwa nini watu (wengine) wa kizazi hiki wanasema hakuna Mungu na kwa sababu hiyo hawamwamini Yesu? Je, uko tayari kufa kwa ajili ya mtu aliyekufa kwa ajili yako? Kwa ajili ya mtu ambaye mitume walikuwa tayari kufa kwa ajili yake? Je, wewe una akili zaidi kuliko mitume? Yesu aliamua kufa ili wewe uishi, lakini bado unakuwa mbishi. Badilika.Similar Quotes by Tags251

You know, we can quote the written Word all day to o...

-

Quote

When you are posessed by evil spirits, it is crafty ...

-Israelmore Ayivor

Quote

Come unto me, all ye that labor and are heavy laden,...

-

Quote

We might be wise to follow the insight of the enrapt...

-

Quote

Only a fool will accept a gift you cannot keep. You ...

-

Quote

O Lord, you have searched me and you know me.

-

Quote

If Satan really wanted to face Jesus Christ in a bat...

-

Quote

Yusufu alikuwa hohehahe kabla na baada ya kuuzwa na ...

-

Quote

Mary thus learns that the Most High has ever borne a...

-

Quote

There is no other way to determine the difference be...

-Israelmore Ayivor

Quote

Noah got a word from God then built upon that word. ...

-

Quote

May the God who gives endurance and encouragement gi...

-

Quote

Every progress made by Satan and every technological...

-

Quote

I love the Lord, for he heard my voice; he heard my ...

-

Quote

Because your steadfast love is better than life, my ...

-

Quote

‎If we do not know the King that comes to your bed...

-

Quote

Obedience moves the hand of the Lord.

-

Quote

He can heal me. I believe He will. I believe I'm goi...

-

Quote

Believe in the sacred word of God, the Holy Bible, w...

-

Quote

Mungu akikuweka mahali unapostahili kuwa, kulingana ...

-

Quote
Copied the text: "Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristo waliamua kufa kinyama kulinda heshima ya mfalme wao Yesu Kristo, kama Biblia na historia vinavyosema. Kwa nini watu (wengine) wa kizazi hiki wanasema hakuna Mungu na kwa sababu hiyo hawamwamini Yesu? Je, uko tayari kufa kwa ajili ya mtu aliyekufa kwa ajili yako? Kwa ajili ya mtu ambaye mitume walikuwa tayari kufa kwa ajili yake? Je, wewe una akili zaidi kuliko mitume? Yesu aliamua kufa ili wewe uishi, lakini bado unakuwa mbishi. Badilika."